TOVUTI HII HAIPASWI KUTUMIWA KWA MASUALA YA DHARURA

Ikiwa upo Uingereza unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0800 915 1571. Ikiwa upo nje ya Uingereza tafadhali piga +800 7233 2255 (Nambari yetu ya Bure ya Kimataifa) au +44 191 516 7749 (nambari hii inatozwa kiwango cha kimataifa).

BAADA YA KUSHIRIKISHA JAMBO LAKO - taarifa utakayotoa na kukubali kuwa tunaweza kuisambaza itatumwa kwa uongozi wa juu katika shirika ambao wataamua hatua sahihi ya kuchukua. Tafadhali zingatia kwamba maeneo yaliyowekewa alama ya * ni ya lazima. Baada ya kujaza na kuwasilisha ripoti tovuti itakupa jina la mtumiaji na nenosiri la kipekee, ambavyo vitaonyeshwa katika ufito wa kijani. Tafadhali hakikisha umenakili jina lako la mtumiaji na nenosiri na kuviweka mahali salama. Baada ya siku mbili za kazi tafadhali rudi na kutembelea tena tovuti hii, tumia jina lako la mtumiaji na nenosiri kuingia, halafu kagua ripoti yako kwa mrejesho au maswali zaidi.

Your Details
Organisation Details
Details of Your Concern
Contacting us by Phone
Consent
Attachments